Kut. 10:6 SUV

6 na nyumba zako, na nyumba za watumishi wako, na nyumba za Wamisri wote zitajawa na nzige; mfano wake baba zako wala baba za baba zako hawakuona, tangu siku walipoanza kuwapo juu ya nchi hata hivi leo. Basi akageuka na kutoka kwa Farao.

Kusoma sura kamili Kut. 10

Mtazamo Kut. 10:6 katika mazingira