Kut. 10:7 SUV

7 Ndipo watumishi wa Farao wakamwambia, Mtu huyu atakuwa tanzi kwetu sisi hata lini? Wape hawa watu ruhusa waende zao, wamtumikie BWANA, Mungu wao; hujatambua bado ya kuwa Misri imekwisha haribika?

Kusoma sura kamili Kut. 10

Mtazamo Kut. 10:7 katika mazingira