31 Akawaita Musa na Haruni usiku, akasema, Ondokeni tokeni katika watu wangu, ninyi na wana wa Israeli; enendeni, kamtumikieni BWANA kama mlivyosema.
Kusoma sura kamili Kut. 12
Mtazamo Kut. 12:31 katika mazingira