Kut. 13:12 SUV

12 ndipo utamwekea BWANA kila afunguaye tumbo, na kila mzaliwa wa kwanza uliye naye, azaliwaye na mnyama; hao waume watakuwa ni wa BWANA.

Kusoma sura kamili Kut. 13

Mtazamo Kut. 13:12 katika mazingira