Kut. 13:13 SUV

13 Kila mzaliwa wa kwanza wa punda utamkomboa kwa mwana-kondoo; na kwamba hutaki kumkomboa, utamvunja shingo; na kila mzaliwa wa kwanza wa binadamu katika wanao utamkomboa.

Kusoma sura kamili Kut. 13

Mtazamo Kut. 13:13 katika mazingira