Kut. 13:14 SUV

14 Kisha itakuwa hapo mwanao atakapokuuliza keshoni, akisema, Ni nini hivi? Utamwambia, BWANA alimtoa Misri, kutoka ile nyumba ya utumwa, kwa uwezo wa mkono wake;

Kusoma sura kamili Kut. 13

Mtazamo Kut. 13:14 katika mazingira