Kut. 14:22 SUV

22 Wana wa Israeli wakaenda ndani kati ya bahari katika nchi kavu; nayo maji yalikuwa ukuta kwao mkono wa kuume, na mkono wa kushoto.

Kusoma sura kamili Kut. 14

Mtazamo Kut. 14:22 katika mazingira