Kut. 14:24 SUV

24 Ikawa katika zamu ya alfajiri, BWANA akalichungulia jeshi la Wamisri katika ile nguzo ya moto na ya wingu, akalifadhaisha jeshi la Wamisri.

Kusoma sura kamili Kut. 14

Mtazamo Kut. 14:24 katika mazingira