Kut. 15:11 SUV

11 Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe?Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu,Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?

Kusoma sura kamili Kut. 15

Mtazamo Kut. 15:11 katika mazingira