16 Hofu na woga umewaangukia;Kwa uweza wa mkono wako wanakaa kimya kama jiwe;Hata watakapovuka watu wako, Ee BWANA,Hata watakapovuka watu wako uliowanunua.
Kusoma sura kamili Kut. 15
Mtazamo Kut. 15:16 katika mazingira