8 Kwa upepo wa mianzi ya pua yako maji yalipandishwa,Mawimbi yakasimama juu wima mfano wa chungu,Vilindi vikagandamana ndani ya moyo wa bahari.
Kusoma sura kamili Kut. 15
Mtazamo Kut. 15:8 katika mazingira