Kut. 16:14 SUV

14 Na ulipoinuka ule umande uliokuwa juu ya nchi, kumbe! Juu ya uso wa bara kitu kidogo kilichoviringana, kidogo kama sakitu juu ya nchi.

Kusoma sura kamili Kut. 16

Mtazamo Kut. 16:14 katika mazingira