Kut. 16:15 SUV

15 Wana wa Israeli walipokiona, wakaambiana, Nini hiki? Maana hawakujua ni kitu gani. Musa akawaambia, Ndio mkate ambao BWANA amewapa ninyi, mle.

Kusoma sura kamili Kut. 16

Mtazamo Kut. 16:15 katika mazingira