22 Basi ikawa siku ya sita wakaokota kile chakula sehemu maradufu, kila mtu pishi mbili; na wazee wote wa mkutano wakaenda na kumwambia Musa.
Kusoma sura kamili Kut. 16
Mtazamo Kut. 16:22 katika mazingira