Kut. 16:23 SUV

23 Akawaambia, Ndilo neno alilonena BWANA Kesho ni starehe takatifu, Sabato takatifu kwa BWANA; okeni mtakachooka, na kutokosa mtakachotokosa; na hicho kitakachowasalia jiwekeeni kilindwe hata asubuhi.

Kusoma sura kamili Kut. 16

Mtazamo Kut. 16:23 katika mazingira