Kut. 16:32 SUV

32 Musa akasema, Hili ni neno BWANA aliloliamuru, Pishi moja ya kitu hicho na kiwekwe kwa ajili ya vizazi vyenu; ili kwamba wao wapate kukiona kile chakula nilichowalisha ninyi barani, hapo nilipowaleta kutoka nchi ya Misri.

Kusoma sura kamili Kut. 16

Mtazamo Kut. 16:32 katika mazingira