Kut. 16:33 SUV

33 Basi Musa akamwambia Haruni, Twaa kopo, ukatie pishi moja ya hiyo Mana ndani yake, uiweke mbele ya BWANA, ilindwe kwa ajili ya vizazi vyenu.

Kusoma sura kamili Kut. 16

Mtazamo Kut. 16:33 katika mazingira