2 Kwa hiyo hao watu wakateta na Musa, wakasema, Tupe maji tunywe. Musa akawaambia, Kwani kuteta na mimi? Mbona mnamjaribu BWANA?
Kusoma sura kamili Kut. 17
Mtazamo Kut. 17:2 katika mazingira