3 Watu wakawa na kiu huko; nao wakamnung’unikia Musa, wakasema, Mbona umetupandisha kutoka Misri, kutuua sisi na watoto wetu na wanyama wetu kwa kiu?
Kusoma sura kamili Kut. 17
Mtazamo Kut. 17:3 katika mazingira