Kut. 19:17 SUV

17 Musa akawatoa hao watu katika kituo, akawaleta ili waonane na Mungu; wakasimama pande za chini za kile kilima.

Kusoma sura kamili Kut. 19

Mtazamo Kut. 19:17 katika mazingira