18 Mlima wa Sinai wote pia ukatoa moshi, kwa sababu BWANA alishuka katika moto; na ule moshi wake ukapanda juu kama moshi wa tanuu, mlima wote ukatetemeka sana.
Kusoma sura kamili Kut. 19
Mtazamo Kut. 19:18 katika mazingira