Kut. 19:19 SUV

19 Na hapo sauti ya baragumu ilipozidi kulia sana, Musa akanena, naye Mungu akamwitikia kwa sauti.

Kusoma sura kamili Kut. 19

Mtazamo Kut. 19:19 katika mazingira