Kut. 19:20 SUV

20 BWANA akaushukia mlima, juu ya kilele cha mlima; BWANA akamwita Musa aende hata kilele cha mlima; Musa akapanda juu.

Kusoma sura kamili Kut. 19

Mtazamo Kut. 19:20 katika mazingira