Kut. 19:21 SUV

21 Ndipo BWANA akamwambia Musa, Shuka chini, uwaonye watu wasije wakapasua njia waje kwa BWANA kutazama, kisha wengi miongoni mwao wakaangamia.

Kusoma sura kamili Kut. 19

Mtazamo Kut. 19:21 katika mazingira