Kut. 19:2 SUV

2 Nao walipokuwa wameondoka Refidimu na kufika jangwa la Sinai, wakatua katika lile jangwa; Israeli wakapiga kambi huko wakiukabili mlima.

Kusoma sura kamili Kut. 19

Mtazamo Kut. 19:2 katika mazingira