Kut. 19:3 SUV

3 Musa akapanda kwa Mungu, na BWANA akamwita toka mlima ule, akisema, Utawaambia nyumba ya Yakobo, na kuwaarifu wana wa Israeli, maneno haya;

Kusoma sura kamili Kut. 19

Mtazamo Kut. 19:3 katika mazingira