Kut. 20:4 SUV

4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.

Kusoma sura kamili Kut. 20

Mtazamo Kut. 20:4 katika mazingira