Kut. 22:21 SUV

21 Usimwonee mgeni, wala kumtendea jeuri; kwa kuwa ninyi mlikuwa wageni katika nchi ya Misri.

Kusoma sura kamili Kut. 22

Mtazamo Kut. 22:21 katika mazingira