Kut. 23:8 SUV

8 Nawe usipokee rushwa; kwani hiyo rushwa huwapofusha macho hao waonao, na kuyapotoa maneno ya wenye haki.

Kusoma sura kamili Kut. 23

Mtazamo Kut. 23:8 katika mazingira