Kut. 23:9 SUV

9 Usimwonee mgeni; maana, ninyi mwajua moyo wa mgeni ulivyo, kwa kuwa ninyi mlikuwa wageni katika nchi ya Misri.

Kusoma sura kamili Kut. 23

Mtazamo Kut. 23:9 katika mazingira