Kut. 24:16 SUV

16 Na huo utukufu wa BWANA ukakaa juu ya mlima wa Sinai; lile wingu likaufunikiza siku sita; na siku ya saba akamwita Musa toka kati ya lile wingu.

Kusoma sura kamili Kut. 24

Mtazamo Kut. 24:16 katika mazingira