Kut. 24:17 SUV

17 Na kuonekana kwake ule utukufu wa BWANA kulikuwa kama moto uteketezao, juu ya mlima machoni pa wana wa Israeli.

Kusoma sura kamili Kut. 24

Mtazamo Kut. 24:17 katika mazingira