Kut. 24:4 SUV

4 Basi Musa akayaandika maneno yote ya BWANA, akaondoka asubuhi na mapema, akajenga madhabahu chini ya mlima, na nguzo kumi na mbili, kwa hesabu ya kabila kumi na mbili za Israeli,

Kusoma sura kamili Kut. 24

Mtazamo Kut. 24:4 katika mazingira