Kut. 26:35 SUV

35 Na ile meza utaiweka nje ya pazia, na kinara cha taa kuikabili ile meza upande wa maskani wa kuelekea kusini; na ile meza utaiweka upande wa kaskazini.

Kusoma sura kamili Kut. 26

Mtazamo Kut. 26:35 katika mazingira