Kut. 26:36 SUV

36 Kisha utafanya kisitiri kwa mlango wa Hema, cha nyuzi za rangi ya samawi, na za rangi ya zambarau, na za rangi nyekundu, na kitani nzuri yenye kusokotwa, kazi ya mshona taraza.

Kusoma sura kamili Kut. 26

Mtazamo Kut. 26:36 katika mazingira