Kut. 26:37 SUV

37 Nawe fanya nguzo tano za mti wa mshita kwa kile kisitiri, na kuzifunika dhahabu; kulabu zake zitakuwa za dhahabu; nawe utasubu matako ya shaba matano kwa ajili yake.

Kusoma sura kamili Kut. 26

Mtazamo Kut. 26:37 katika mazingira