Kut. 28:11 SUV

11 Kwa kazi mtu mwenye kuchora mawe kama vile muhuri ichorwavyo, utavichora hivi vito viwili, sawasawa na majina ya wana wa Israeli, nawe utavitia katika vijalizo vya dhahabu.

Kusoma sura kamili Kut. 28

Mtazamo Kut. 28:11 katika mazingira