Kut. 28:12 SUV

12 Nawe utavitia vile vito viwili juu ya vipande vya mabegani vya hiyo naivera, viwe vito vya ukumbusho kwa ajili ya wana wa Israeli; naye Haruni atayachukua majina yao mbele za BWANA juu ya mabega yake mawili ili kuwa ukumbusho.

Kusoma sura kamili Kut. 28

Mtazamo Kut. 28:12 katika mazingira