Kut. 28:14 SUV

14 na mikufu miwili ya dhahabu safi; utaifanya iwe mfano wa kamba, ya kazi ya kusokotwa; nawe uitie ile mikufu ya kazi ya kusokotwa katika vile vijalizo.

Kusoma sura kamili Kut. 28

Mtazamo Kut. 28:14 katika mazingira