Kut. 29:9 SUV

9 Nawe uwakaze mishipi, Haruni na wanawe, na kuwavika kofia; nao watakuwa na huo ukuhani kwa amri ya milele; nawe utawaweka Haruni na wanawe kwa kazi takatifu.

Kusoma sura kamili Kut. 29

Mtazamo Kut. 29:9 katika mazingira