Kut. 3:1 SUV

1 Basi huyo Musa alikuwa akilichunga kundi la Yethro mkwewe, kuhani wa Midiani; akaliongoza kundi nyuma ya jangwa, akafika mpaka mlima wa Mungu, hata Horebu.

Kusoma sura kamili Kut. 3

Mtazamo Kut. 3:1 katika mazingira