Kut. 3:2 SUV

2 Malaika wa BWANA akamtokea, katika mwali wa moto uliotoka katikati ya kijiti; akatazama, na kumbe! Kile kijiti kiliwaka moto, nacho kijiti hakikuteketea.

Kusoma sura kamili Kut. 3

Mtazamo Kut. 3:2 katika mazingira