33 Mtu awaye yote atakayechanganya mafuta mfano wa haya, au mtu awaye yote atakayetia mafuta haya juu ya mgeni, mtu huyo atakatiliwa mbali na watu wake.
Kusoma sura kamili Kut. 30
Mtazamo Kut. 30:33 katika mazingira