Kut. 31:14 SUV

14 Basi mtaishika hiyo Sabato; kwa kuwa ni takatifu kwenu; kila mtu atakayeitia unajisi hakika yake atauawa; kwa kuwa kila mtu afanyaye kazi katika siku hiyo, nafsi hiyo itakatiliwa mbali na watu wake.

Kusoma sura kamili Kut. 31

Mtazamo Kut. 31:14 katika mazingira