Kut. 31:15 SUV

15 Kazi itafanywa siku sita; lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa, takatifu kwa BWANA; kila mtu atakayefanya kazi yo yote katika siku ya Sabato, hakika yake atauawa.

Kusoma sura kamili Kut. 31

Mtazamo Kut. 31:15 katika mazingira