Kut. 31:16 SUV

16 Kwa ajili ya hayo wana wa Israeli wataishika Sabato, kuiangalia sana hiyo Sabato katika vizazi vyao vyote, ni agano la milele.

Kusoma sura kamili Kut. 31

Mtazamo Kut. 31:16 katika mazingira