Kut. 32:18 SUV

18 Akasema, Hiyo si sauti ya watu wapigao kelele kwa sababu ya kushinda vitani, wala si sauti ya watu wapigao kelele kwa sababu ya kushindwa; bali kelele za watu waimbao ndizo ninazozisikia mimi.

Kusoma sura kamili Kut. 32

Mtazamo Kut. 32:18 katika mazingira