Kut. 32:19 SUV

19 Hata alipoyakaribia marago akaiona ile ndama, na ile michezo. Hasira ya Musa ikawaka, akazitupa zile mbao mikononi mwake, akazivunja chini ya mlima.

Kusoma sura kamili Kut. 32

Mtazamo Kut. 32:19 katika mazingira