Kut. 32:20 SUV

20 Akaitwaa ile ndama waliyoifanya, akaichoma moto, akaisaga hata ikawa mavumbi, akainyunyiza juu ya maji, akawanywesha wana wa Israeli.

Kusoma sura kamili Kut. 32

Mtazamo Kut. 32:20 katika mazingira