17 BWANA akamwambia Musa, Nitafanya na neno hili ulilolinena, kwa maana umepata neema mbele zangu, nami nakujua jina lako.
Kusoma sura kamili Kut. 33
Mtazamo Kut. 33:17 katika mazingira